Kijana mzaliwa wa Congo
#Mmunga Ilunga Malisawa mkazi wa Scranton Pennsylvania nchini marekani alikamatwa na police jumatano 22.01.2025 kwa kosa la kumgonga mtu na kukimbia. Tukio hilo lilitokeaga mnamo December 30, 2024 majira ya usiku, wakati kijana huyo akiwa na endesha gari alimgonga msichana ambaye jina lake alikutajwa na kukimbia, bahada ya muda police walifika eneo la tukio na kumkuta msichana huyo akiwa Hana fahamu barabarani. Camera za usalama zilionyesha gari la aina ya SUV lenye rangi ya kijivu likisafiri kuelekea Magharibi, bahada ya Uchunguzi police walitambua Mmiliki wa gari hilo ni kijana
#Mmunga. Police walipo mkamata alikiri kuwa alikuwa akiendesha gari hilo usiku wa ajali hiyo na kumgonga msichana huyo, pia iligunduliwa kwamba alikuwa na drive license ambayo imisha expire.
#usatiktok🇺🇸♥️😘🤗tiktok🇺🇸
#congotiktok🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩243congo
#tanzaniantiktok🇹🇿🇹🇿🇹🇿fyp
#congotiktok🇨🇩
#congotiktok🇨🇩🇨🇬
#babondotraditionalsong #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
#tanzaniantiktok🇹🇿