Eid Mubarak kwa familia yangu ya Kitanzania. ๐๐น๐ฟ Ni moja ya heshima kubwa maishani mwangu kuimba wimbo wenu wa taifa. Asanteni kwa kunipokea, kwa kunifanya nijiskie niko nyumbani, mahali ambapo nimejisikia kuonekana, kupendwa na kuwa salama. Ninawapenda sana, napenda chakula chenu, tamaduni zenu na kila kitu kinachofanya Tanzania kuwa tajiri ,tofauti na ya kipekee. Huu si wimbo tu , bali ni heshima ya upendo, umoja, na shukhrani ya dhati kwenu. Naomba mpokee zawadi hii kutoka moyoni mwangu. โค๏ธ