My expérience lessons 2024 :UKIAMUAMINI MUNGU ATAKUONESHA NJIA -Wema unaoza -you can be the right package to a wrong adress -watu hawataki vitu unavyowapa wanataka ulivyonavyo! -you will never be the right woman to a wrong guy -take risk when necessary -even in a room full of negativity there is a small door of positivity fight and open it -hakuna mtu yoyote unaemjua vizur! Kila mtu ana sura ambayo hakuna anaeijua! Na io ndo mbaya sanaaaaa! -ukitaka kula vya wanaume walio na pesa mapenz sahau! Maana hukuwepo wakat anazitafta be ready to be treated like a property that is about to be sold anytime. -dunia haiwez kukupa kila unachotikata ila shukuru kwa kile unachokipata -TRUST NO ONE'! -ukiwa na matatizo 11 alaf ukapata hapo hapo tatizo la Afya JUMLA UNA TATIZO MOJA! -unaweza kumpoteza yoyote na chochote wakat wowote be ready and always be humble -sio kila kinachokupa amani kitakupa furaha! -decipline is the highest form of self love -some disconections are blessings -jifunze kusema hapana -makosa ni sehem ya kujifunza -siku mbaya zipo na siku nzur zipo huwez kuwa na siku nzur au mbaya kila siku! -sometime you have to agree you are lost and start afresh -LOYALTY CAN NEVER BE TESTED TWICE🤌🏽👌